Nafasi ya Kazi Civil technician, Shirika la Viwango Tanzania (TBS) - October, 2024

📘 Program Maisha Baada ya Chuo Kama Civil Engineer/Technician

Program Hii Ni Maalum Kwa Wahitimu Watarajiwa Civil Engineers/Technicians TU!

Kupitia Program Hii Utaenda Kupata Majibu ya Maswali yote yanayokutatiza na Kukunyima RAHA kama Mhitimu Mtarajiwa Kada ya Civil Engineering Ngazi ya (Diploma au Bachelor) Kila Unapowaza Maisha Baada ya Kumaliza Chuo Kama:

  1. Nitaanzia wapi baada ya kumaliza chuo, kabla sijaajiriwa na sina mtaji?
  2. Nitaanzia wapi kutengeneza pesa baada ya kumaliza chuo?
  3. Jinsi ya kutumia elimu yako ya kitaalamu ya "Civil Engineering" kujikwamua kiuchumi.
  4. Msingi wa kujiajiri moja kwa moja ikiwa ajira za makampuni binafsi na serikali zitakuwa changamoto.
  5. Nitapata vipi "connections" zitakazonisaidia kupata kazi?
  6. Jinsi ya kujenga uzoefu utakao kusaidia kupata kazi katika makampuni makubwa.
  7. Vitu gani vitakavyomfanya mhitimu wa Civil Engineering aweze kuendesha mradi mpaka mwisho kwa ufanisi?
  8. Itachukua muda gani kujiajiri au kupata ajira kama Civil Engineer/Technician?
  9. Je, nianze kufanya kazi inayohusiana na taaluma yangu ya Civil Engineering au kazi yeyote itakayopatikana kwa wakati huo?
  10. Nitaanzaje au nitaanzia wapi kuishi na kufanya kazi katika taaluma yangu ya Civil Engineering?
  11. Baada ya kumaliza chuo, nitawezaje kupata fursa za kuendeleza taaluma yangu kabla sijapata ajira?
  12. Tofauti zilizopo kati ya kufanya kazi kwa mkandarasi, Kujiajiri na kuajiriwa serikalini kama “Civil Engineer/Technician”.
  13. Ni changamoto gani zipo kwenye soko la ajira kwa sasa?
Bofya Hapa Kupata Program
Kabla hatujaendelea na makala yetu naomba uchukue muda wako kidogo kusapoti channel yangu ya YouTube kwa kubofya ==> HAPA hii inanipa faraja ya kuendelea kukuandalia makala nzuri na za kujifunza kama hii..🙏

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) ni shirika la kitaifa la viwango kwa Tanzania lililoanzishwa na serikali kama sehemu ya juhudi za kuimarisha miundombinu ya kusaidia sekta za viwanda na biashara katika uchumi wa nchi. Shirika hili lilianzishwa kwa Sheria ya Bunge Na. 3 ya mwaka 1975 kama Taasisi ya Kitaifa ya Viwango na lilianza rasmi kufanya kazi tarehe 16 Aprili 1976. Baadaye, lilibadilishwa jina na kuwa Shirika la Viwango Tanzania chini ya Sheria Na. 1 ya mwaka 1977. Mnamo tarehe 20 Machi 2009, Sheria ya Viwango Na. 3 ya mwaka 1975 ilifutwa na kubadilishwa na Sheria ya Viwango Na. 2 ya mwaka 2009.

[Image Credit: TBS - (source: https://www.tbs.go.tz/)]

Shirika hili lilianzishwa kama sehemu ya juhudi za serikali za kuimarisha miundombinu ya taasisi za kusaidia sekta za viwanda na biashara katika uchumi. Hasa, TBS ilipewa jukumu la kuchukua hatua za kudhibiti ubora wa bidhaa za aina zote na kuhamasisha utumiaji wa viwango katika viwanda na biashara.

Majukumu na Kazi.

Kwa mujibu wa Kifungu cha 4 (1) cha Sheria ya Viwango Sura ya 130, TBS ina majukumu makuu yafuatayo:

a) Kuchukua hatua za kudhibiti ubora wa bidhaa, huduma na mazingira ya aina zote na kuhamasisha utumiaji wa viwango katika viwanda na biashara;

b) Kufanya mipango au kutoa vifaa vya kupima na kuhakiki vyombo vya usahihi, vipimo na vifaa vya kisayansi, ili kubaini kiwango cha usahihi na ufuatiliaji wao kwa kulinganisha na viwango vilivyoidhinishwa na Waziri wa Viwanda na Biashara kwa mapendekezo ya Bodi ya Wakurugenzi, na kutoa vyeti kuhusiana na hivyo;

c) Kufanya mipango au kutoa vifaa vya kuchunguza na kupima bidhaa na nyenzo au vitu vyovyote ambavyo vinaweza kutumiwa kutengeneza, kuzalisha, kuchakata au kushughulikia;

d) Kuidhinisha, kusajili na kudhibiti matumizi ya alama za viwango kwa mujibu wa masharti ya Sheria ya Viwango;

e) Kutoa, kusasisha, kusimamisha, kubadilisha au kufuta leseni yoyote iliyotolewa kwa ajili ya matumizi ya alama yoyote ya viwango;

f) Kusaidia viwanda katika kuanzisha na kutekeleza taratibu za uhakikisho wa ubora na mifumo ya usimamizi wa mazingira;

g) Kuandaa, kutunga, kurekebisha au kubadilisha Viwango vya Kitaifa;

h) Kuhamasisha au kufanya kazi za elimu zinazohusiana na viwango, uhakikisho wa ubora, vipimo, upimaji na mazingira.

Shirika limetoa Nafasi ya Kazi Kwa Civil Technician.

Maelezeo Kuhusu Kazi

Post: CIVIL TECHNICIAN - 1 POST

Employer: Tanzania Bureau of Standards(TBS)

Application timeline: 30-09-2024 to 13-10-2024

Wajibu na Majukumu Kwa Nafasi Hiyo Ya Kazi: 

i.To assist in maintenance of the Bureau’s equipment; ii.To assist in repairing machines and apparatus in the laboratories; iii.To assist in maintenance of specialized equipment/apparatus; iv.To assist in interpretation of preventive maintenance reports, follow-up and rectification of detected faults; v.To assist in checking on daily maintenance routines; vi.To assist in carrying out minor services, repairs, installation works in carpentry, plumbing, electrical, masonry and painting duties as assigned by the supervisor; vii.To ensure cleanliness of machines and equipment; viii.To assist in recording and monitoring timely the performance of machines, installations, buildings and other equipment using check lists and ensure economical and correct use of the Bureau’s equipment; ix.To assist in recording inventory of related working equipment/tools; x.To assist technicians and engineers in repairing work and carrying out engineering related activities; xi.To observe safety precautions to personnel, tools, instruments and equipment; and xii.To perform any other duties as may be assigned by superior.

Academic Qualifications and Experience:

Holder of Diploma in Civil Engineering or equivalent qualifications from a recognized institution.


A signed application letter should be written in Swahili or English and addressed  to the following address

Secretary President office,
Public Service Recruitment Secretariat,
P.o.Box 2320,
Dodoma.

If you like this content consider subscribing HERE so you can get notified once we publish more good content like this.

Kufahamu zaidi kuhusu maswali ya Usaili bofya 👉 HAPA

Kuona kazi nyingine zaidi kada ya Engineering and Construction bofya 👉 HAPA 

Soma makala nyingine hizi kujifunza zaidi.. 

Previous Post Next Post

Contact Form