Videos

📘 Program Maisha Baada ya Chuo Kama Civil Engineer/Technician

Program Hii Ni Maalum Kwa Wahitimu Watarajiwa Civil Engineers/Technicians TU!

Kupitia Program Hii Utaenda Kupata Majibu ya Maswali yote yanayokutatiza na Kukunyima RAHA kama Mhitimu Mtarajiwa Kada ya Civil Engineering Ngazi ya (Diploma au Bachelor) Kila Unapowaza Maisha Baada ya Kumaliza Chuo Kama:

  1. Nitaanzia wapi baada ya kumaliza chuo, kabla sijaajiriwa na sina mtaji?
  2. Nitaanzia wapi kutengeneza pesa baada ya kumaliza chuo?
  3. Jinsi ya kutumia elimu yako ya kitaalamu ya "Civil Engineering" kujikwamua kiuchumi.
  4. Msingi wa kujiajiri moja kwa moja ikiwa ajira za makampuni binafsi na serikali zitakuwa changamoto.
  5. Nitapata vipi "connections" zitakazonisaidia kupata kazi?
  6. Jinsi ya kujenga uzoefu utakao kusaidia kupata kazi katika makampuni makubwa.
  7. Vitu gani vitakavyomfanya mhitimu wa Civil Engineering aweze kuendesha mradi mpaka mwisho kwa ufanisi?
  8. Itachukua muda gani kujiajiri au kupata ajira kama Civil Engineer/Technician?
  9. Je, nianze kufanya kazi inayohusiana na taaluma yangu ya Civil Engineering au kazi yeyote itakayopatikana kwa wakati huo?
  10. Nitaanzaje au nitaanzia wapi kuishi na kufanya kazi katika taaluma yangu ya Civil Engineering?
  11. Baada ya kumaliza chuo, nitawezaje kupata fursa za kuendeleza taaluma yangu kabla sijapata ajira?
  12. Tofauti zilizopo kati ya kufanya kazi kwa mkandarasi, Kujiajiri na kuajiriwa serikalini kama “Civil Engineer/Technician”.
  13. Ni changamoto gani zipo kwenye soko la ajira kwa sasa?
Bofya Hapa Kupata Program

Contact Form