The CivilEngineers Hub is a Platform Dedicated to the Tanzanian Civil Engineering Profession (Students, Graduates, Self-employed and Employed).
Helping you to Turn Civil Engineering Knowledge into Multiple Ways Income
"From just knowing what concrete is to how you benefit after knowing this is concrete."
Inauma Sana Kwenda Chuo Kuwekeza Miaka 3 Mpaka 4 Hafu Ukitoka Kuingia Mtaani Huelewi Nini Cha Kufanya na Elimu Yako au Elimu Yako Kuonekana Kama Haina Msaada Kwenye Uhalisia Wako!
Tuko Kwa Ajili ya Kuziba Ili Pengo
Tunajishughulisha na Kutoa Semina, Workshop na Mafunzo Kwa Vitendo Kuhusu Ujuzi wa Ajira/Kazi (Employability Skills), Ujuzi wa Kitaalamu (Technical Skills), Ujuzi wa Kujiajiri (Self Employment and Expert Business Skills) na Uwekezaji (Investment Skills) Kwa Civil Engineer/Technician [Student, Graduate, Self-Employed or Employed] Baadhi ya Mafunzo Kama: -
1. Mbinu za Kufanikiwa za Kutafuta na Kupata Kazi Katika Makampuni Binafsi na Serikalini Kama Civil Engineer/Technician [Interview Preparation, CV Writing & Connection Building]
2. Kujiajiri Kwa Kutumia Taaluma Yako (Classroom Skills & Knowledge)
3. Kutengeneza na Kukuza Kipato Kama Civil Engineer/Technician.
4. Ujenzi Kiujumla, Makadirio ya Materials za Ujenzi & Kusimamia Site.
5. Ujuzi Mbalimbali Muhimu wa Kitaalamu [Civil Engineers & Technicians] Unaohitajika Kazini.
6. Jinsi ya Kufanya Vizuri Kwenye Masomo Yako [Civil Engineering].
7. Kozi Mbalimbali Kama Structural Design, Architectural Design, Road Design, Quantity Estimation N.k
Unapata Access BURE ya Civil Engineering Books, SEAP Reports, Excelsheets, Matangazo ya Kazi Civil Engineering, Manuals, Site Documents.
Tunafanya Pia Kazi za Design, Consultancy & Supervision
Quality, integrity, uniqueness, and professionalism are our core values.
The CivilEngineers Hub was created by Tony Mbugi as a civil engineering platform.
Email: thecivilengineershub@gmail.com
Mr. Tony Mbugi..
Ni Civil & Water Resource Engineer , Director, Author (2 Books), Instructor/Tutor , Content Creator na Coach & Mentor..
Huduma Zetu Bofya Hapa: https://wa.me/255746452103










