CV (Curriculum Vitae) Inaweza Kuwa Njia ya Kukupa Mchongo au ya Kukunyima Usipate Mchongo Niamini Mimi!
.
Bofya Kujifunza Mpaka Mwisho:
.
Ilikuwa Ni Mwaka 2018, Miaka 8 Iliyopita.
.
Niliingia Ofisini Baada ya Kuruhusiwa na Secretary Kumuona Managing Director
.
Swali Lake la Kwanza Lilikuwa Enhe Niambie, Unasemaje?!
.
Nikajieleza Pale Mimi Naitwa Flani Bini Flani Nimekuja Kwa Ajili ya Moja Mbili Tatu.
.
Baada ya Hapo Akaniambia Nipe CV Yako, Baada ya Kumpa Tu Akaiangaliaa Kwa Dakika 2 Hafu Akajibu Mnh!
.
Mbona Hapa Sioni Kitu Humu Kwenye CV yako!!
.
Haa, wee Nilivunjika Moyo Mno, Ikisha Akaniuliza Mbona Kama Naona Wewe Bado Ni Mwanafunzi Tu Kulingana na CV yako Ilivyo.?
.
Hata Tukikuajiri Unahisi Utafanya Kazi au Utakuwa Umekuja Kujifunza Tu Kwetu na Kula Mshahara wa BURE.?!
.
Ndipo Nilipojifunza Kumbe CV Inaweza Kuwa Sababu ya Kupata Mchongo au Kukosa!
.
Na Asikudanganye Mtu Kila Siku Kwenye Maisha Unapata Deal Kulingana na CV Yako Aidha Kwa Kujua au Kutokujua!
.
Bofya Kujifunza Mpaka Mwisho:
.
Hata wewe Leo Hii Unavyotafuta Kitu au Mtu wa Kukusaidia Lazima Uchunguze Kujua Je, Anafaa au Laah Na Hapa Ndio CV ya Mtu Inapokuja!
.
So Ndani ya Makala Hii Nimeeleza Hatua Kwa Hatua Jinsi ya Kuandika Professional CV Ambayo Inakubalika Popote Pale Katika Harakati za Kutafuta Kazi!
.
Bofya Kujifunza Mpaka Mwisho:
To Get You CV Well Prepared Like This Check Me on WhatsApp HERE