Jinsi ya Kutengeneza Pesa Kupitia Ujuzi wa Kozi ya Building Construction..

Bofya Kujifunza Mpaka Mwisho:



.

Nakumbuka ilikuwa Mwaka Juzi 2023, Wakati Niko Darasani Natoa Lecture ya [Stormwater Drainage Construction] Kwa Wanafunzi wa Labour Base..

.
Kuna Mtu Mmoja Akauliza Hivi Kwanini Tukiwa Chuoni Tunasoma Vitu Vingi Ambavyo Vingine Hata Havina Msingi.?
.
Kwanini Isingekuwa Tu Tukifika Darasani Mfano Kwenye Kozi ya Building Construction Tunaambiwa Kabisa Unahitaji Kujua Ujuzi Huu na Huu na Huu.. Na Ukifika Mtaani Utakusaidia na Utakuingizia PESA Kwa Style Moja Mbili Tatu!
.
Oops! That Question Stick to My Mind Until Today!?
.
So Tutakuwa na Series Inayoonyesha Hatua kwa Hatua Ujuzi Unahohitajika Mtaani na Jinsi ya Kutengeneza Pesa Kupitia Kila Kozi Ambayo Iko Ndani ya Civil Engineering..!
.
Kama:
.
1.Building Construction
2.Concrete Technology
3.Civil Engineering Materials
4.Engineering Drawings
5.Engineering Hydrology
6.Foundation Engineering
7.Quantity Surveying
8.Reinforced Concrete Designs
.
Na Kozi Nyingine Zote!
.
Ndani ya Episode Hii Nitakuonyesha Ujuzi Muhimu Unaojifunza Kwenye Building Construction na Jinsi ya Kuutumia Ujuzi Huo Kutengeneza Pesa, Hata Kama Huna Mtaji.
.
Utajifunza:
1. 🔨Ndani, ya Building Construction Unajifunza Ujuzi Gani?
2.💰 Je, Utumiaje Huu Ujuzi Kutengeneza Pesa?

Bofya Kujifunza Mpaka Mwisho:




Previous Post Next Post

Contact Form