Kuajiriwa Serikalini au Private? Wapi Ni Bora!

Kuna Usemi Unaosema Huwezi Kumchukua Ndege John Na Kumfanya Awe Muogeleaji Mzuri Kama Samaki.? Au Ukamchukua Samaki na Ukamuweka Nchi Kavu na Kumfanya Awe Anapaa Kama Ndege John...

Yaani Ni Sawa na Kumchukua Golikipa Ukamchezesha Mshambuliaji na Mshambuliaji Awe Golikipa..
.
Najua Utakuwa Unapata Majibu Hapo How Does It Sound.?
.
.
.
.
Sio Kila Kitu Ni Kwa Kila Mtu!
.
Kila Mtu Ana Mahali Ambapo Anafit Zaidi.. Anafanya Vizuri Zaidi Akikaa Hapo Kuliko Sehemu Nyingine Yoyote Ili..
.
By The Way Kuna Mtu Alinifata Inbox Kuniuliza Kama Niko Kwenye Position ya Kuchagua Kati ya Hizi Sehemu Mbili Ajira Katika Taasisi Binafsi Na Ajira Katika Taasisi za Umma (Serikalini) Ni Chague Wapi..Wapi Ni Bora.?
.
So Kama Na Wewe Uko Kwenye Hii Confusion Dilemma Basi Makala Hii Itakuwa Na Msaada Sana Kwako Katika Kukuongoza Unapotaka Kufanya Maamuzi..
.
.


Previous Post Next Post

Contact Form