Kuna Ile Hali ya Kawaida Kabisa ya Kiubinadamu..
.
.
>> Unaona Kabisa Mbona Mimi Nna Uwezo Nina Jua Kuliko Fulani Lakini Sipati Michongo Wala Madeal Kama Fulani.?Kama Ulishawahi Kukutana Nayo Basi Nikwambia Hauko Pekee Yako Ni Hali Ambayo Huwa Inamkuta Kila Mtafutaji na Mpambanaji
>> Lakini Wakati Mwingine Unakuta Hata Huyo Ambaye Unaona Anapata Hayo Madeal Michongo Ukimuuliza Amefanyaje Mwenyewe Unakuta Anakwambia Mimi Sijui Inakuja Tu Yenyewe
Ilinichukua Miaka 3 Kuelewa Hii Inakuwaje Kuwaje Hii.
Nikaja Nikagundua Sio Tu Kwamba Ni Bahati..
Hata Bahati Huwa Inamfata Mtu Ambaye Yuko Kwenye Mlengo na Njia Sahihi 😁
>> Kweli Mwenyezi Mungu Ndio Mtoaji wa Neema ila Kama Huipambanii Huitafuti Umekaa Tu I swear Utafia Hapo Na Hamna Kitu Utaona ⚠️
Lakini Kwenye Katika Kutafuta Unahitaji Pia Kuwa Na Muunganiko wa Set of Password/Keys Ambazo Ukiunganisha Tu Paa.. Unaona Vitu Hivyo Vinakuja Tu Venyewe
>> So Kama Ni Wewe Unaona Kabisa Mbona Mimi Nina Jua Vitu Nina Uwezo Nina Skills Na Hupati Michongo Hupati Madeal Basi Makala Hii Ni Kwa Ajili Yako.
Hapa Ndani Nimeshare na Wewe Muunganiko wa Vitu Ambavyo Ukicombine Sio Rahisi Kukosa Matokeo Kwenye Chochote Ambacho Unapambania..
>> Bofya Kujifunza Zaidi:
.
