Kuna Kitu Natamani Kushare na Wewe Upcoming & Fresher Civil Engineer & Technician.
.
.Hata Wewe 🫵🏾 Ambae Huko Kazini Hii Inakuhusu.
>> Kuna Siku Miaka 5 Nyuma Nilikuwa Site Mkazambo, Borrow Pit Mvua Ilikuwa Imenyesha Hafu Na Udongo wa Kule Nature Yake Ilivyokuwa Ni Kwamba Mvua Ikinyesha Tu Hamna Gari wala Grader Wala Excavator Inaweza Kutembea Juu Ya Ule Udongo.
Sasa Kila Mtu Akawa Anasubiri Mimi Kama Site Engineer Nitoe Maelekezo Tunafanyaje Hapo Maake Kila Kitu Kitu Kilikuwa Ni cha Kukodi Matipa, Grader, Roller, Excavator So Ukisimamisha Kazi Ni Hasara Hata Kwa Nusu Saa Tu
Sasa Tipper Tatu Zilikwama Kwenye Barabara ya Borrow Pit Kwa Sababu ya Mvua ile Nikasema Excavator Aje Atoe Msaada Nae Akakwama Hapo Kwaio Kila Kitu Kilisimama.
Sasa Kuna Jamaa Mmoja Layman Tu Hata Shule Hajaenda Ndio Alikuwa Mwenyeji Wangu Mkuu Kule Alikuwa Anatoa Ushauri Tufanye Moja Mbili Tatu..
Hafu Anajitapa Mbele Yangu Na Kauli za Vijembe Mimi Ndio Engineer Hapa Kaa Pembeni Niache Mimi Nifanye Kazi Yangu Sasa Kauli Zake Zilikuwa Zinanikera Kwa 7bu Zilikuwa Ni za Kubeza Kwaio Nikawa Nampinga Kwa Ushauri Anaotoa 😁
Anyway Baadae Nikamuacha Tufanye Anachotaka.
Tulivyofanikiwa Baadae Alinifundisha Kitu Akaniambia Mimi Hata Nikifanya Vipi Siwezi Kuutoa U Injinia Wako Kwa 7bu Ni Professional Umesomea 😆
Sijui Kwenye Hii Story Umejifunza Nini.. 😁 ila Ki Mtaani Wanasemaga Wenye D Mbili au Waliosoma Cuba Wameelewa
By the way Natamani Ujifunze Kitu Makosa Makubwa Ambayo Unatakiwa Uyaepuke Kama Fresher Civil Engineer/Technician… ili Kuvutia Fursa Zaidi na Kulinda Career Yako Popote Utapokuwepo:
Bofya Hapa Kujifunza Zaidi:
.
