Achilia Mbali Kutoa Kafara... Freemason... Chinja Chinja... Manyoka. Na Wezi..
.
Hapa Naongelea Watu wa Kawaida (Genuine Normal People) Tu Kama Wewe na Mimi...
.
Hakuna Civil Engineer/Technician Yoyote Yule Mwenye Mafanikio Makubwa ya Kiuchumi Kwenye Circle Yako Ambaye Ukimfatilia Utakuta Alifikia Hapo Alipofikia Kwa Kuajiriwa au Kujiajiri TU! Guaranteed!
.
Vivyo Hivyo Hakuna Tajiri Mkubwa Duniani Unayemjua Kwenye List (Elon Musk,Mark Zuckerberg, Jeff Bezos, Larry Ellison na Wengine) Katika History Ambaye Alifikia Mafanikio Hayo Kwa Kuajiajiri na Kuajiriwa au Kufanya Biashara TU.!
.
Hawa Wote Kuna Namna Ambayo Walianza Ndio Hiyo Kujiajiri au Ajira au Biashara Ikisha Waka Expand Kwa Kufuata Mfumo Ambao Tuliumbiwa Kufata Na Mwenyezi Mungu Ili Tufikie Mafanikio Hayo Makubwa Kama Inavyosema Hapa..
.
>> ["And God blessed them and said to them, "Be fruitful and multiply and fill the earth and subdue it, and have dominion over the fish of the sea and over the birds of the heavens and over every living thing that moves on the earth]
.
So Ndani ya Makala Hii ya Leo (Video Nimekuwekea Hapo Chini) Nimeshare na wewe Kitu Ambacho Natamani Ujifunze..
.
>> Hatua 4 za Kuwa na Mafanikio Makubwa Civil Engineers & Technicians: Kutoka Sifuri Hadi Uhuru Kiuchumi. !
.
Haijalishi Unaanzia Wapi na Uko Wapi... Kama Ukifatisha Hii Strategy You're on the right track... JUST A MATTER OF TIME
.
Jifunze Kuna Kitu Utapata..!!
.
Usishangae Kuona Kuna Ma Technician Wanajua Mambo Ma Engineer Wanajua Kazi Mbwa ila Wako Hapo Hapo Kila Siku Ni Kwamba Hawafati Growth Strategy ili Wakue Kufikia Mafanikio Yao Makubwa Wanang'ang'a Kutambaa Wakati Kila Kitu cha Kuwawezesha Kuruka Wanacho..
.
Comment Baada ya Kutizama na Uniambie Umejifunza Nini