Hamna Kitu kibaya Kama Kwenda Mahali Ambapo Haupajui.!
..
Unaweza Kujikuta Unapoteza MUDA... Unapoteza na PESA! Na Gharama Nyingine Kibao!
.
Ndio Hivyo Ambavyo Inaweza Kuwa Kama Utaamua Kufungua Kampuni Yako ya Ujenzi (Construction Company) Bila Kujua Lengo Lako Haswa Ni Kumsaidia Nani na Kutoa Huduma ya Aina Gani? Kufanya Kazi za Aina Gani? Na Hizo Kazi Unapata Wapi? Chanzo chako cha Resources Ni Kipi.!
.
Ndani ya Makala Hii (Video Nimekuwekea Hapo Chini) Nimeshare na Wewe Mambo Mawili ya Msingi MNO ya Kuzingatia Kabla Hata ya Kuwaza Kusajili Kampuni ya Ujenzi/Ukandarasi.
.
Hakikisha Unapitia Mpaka Mwisho Kama Unatarajia Kusajili Kampuni ya Ukandarasi (Building & Civil Contractor) 2026!

Tags:
Makala ya kiswahili