>> Alisikika Akilalamika Sana Kuwa Eti..
..
..Inatia Aibu...Inatia Aibu Wewe Asikwambie Mtu..
.
Siku ya kwanza nimefika tu kwa ofisini nikapelekwa site hafu hata nnachotakiwa kukifanya site nilikuwa sijui ni nini…
.
Najua utakuwa unapata picha kama hiyo na maanisha nini hapo…
.
Mafundi wanategemea maelezo kutoka kwako hafu na wewe hujui chochote..
.
Kuna site nyingine nilijikuta mimi ndio msimamizi na meneja wa kila kitu lakini hata pakuanzia nilikuwa sijui ni wapi.?
.
Hii yote ni Kutokana na Kukosa Ujuzi wa vitendo ambao ungekuwa ni msaada kwangu kusimamia site..
.
Ndani ya Makala Hii (Video Nimekuwekea Hapo Chini) Nimeeleza Mambo 5 ya Muhimu Kujua Civil Engineer/Technicia ili Kazi Site Isikushinde
.
Kama Ilivyomshinda Eng. Daudi Mwakabenderezi 😂😂 Akakimbia Site
.
.
Tizima Ikisha Ukaniambie Kwenye Sehemu ya Comment Umejifunza Nini..