Uko Site na Hujui Utumie Zege [Concrete] Gani Kwenye Kazi Yako.? Soma Hii

Aina za Mbalimbali za Zege [Concrete] na Matumizi yake Katika Ujenzi

Ndani ya Makala Hii Utaenda Kujifunza
Aina za Mbalimbali za Zege [Concrete] na Matumizi yake Katika Ujenzi..

Hey, Friend  Welcome Back Kama Hii Ni Mara yako ya Kwanza na Ni Mgeni Karibu The CivilEngineers Hub Platform Maalum Kwa... (Students, Graduates, Self-employed and Employed) Kada ya Civil Engineering Kujifunza Mambo Mbalimbali Kuhusiana na
Pia Unapata Maarifa Mbalimbali Katika Masomo ya Civil Engineering, Vitabu, SEAP Reports, Excelsheet Mbalimbali, Matangazo ya Kazi za Civil Engineering, Manuals, Site Documents.

Tembelea Channel Yetu YouTube Bofya Hapa - [The CivilEngineers Hub] Kupata Makala Kama Hizi Kwa Video.

Tuendelee..

Je, Ushawahi Kwenda Site na Ukajikuta Unasimamia Kazi ya Zege Hafu Hujui Uanzie Wapi.?

Hata Mimi ilishawahi Kunikuta Hiyo.. Sasa Ni Kwambia Kitu Kimoja Hakuna Mradi Unaojiendesha Wenye Kila Mradi Unaendeshwa Kwa Kutumia Construction Document Nyingi Ila Muhimu Ziko Tatu Mojawapo ni Specification.

Specification Ndio Construction Document inayokupa wewe Muongozo Utumie Material za Aina Gani, Zenye Ubora Upi.? Na Zitengenezwe Vipi.

Kwaio Hapo Unachotakiwa Kufanya Ni Kutafuta Specification ya Mradi Unaosimamia na Kuangalia Inasema Utumie Zege la Aina Gani na Lenye Vigezo Vipi..

Ila Kwa Kuokoa Muda Unaweza Jifunze Aina Mbalimbali za Zege na Matumizi yake Kupitia Video Hii Hapa Chini.

Hakikisha Unaifatilia Mpaka Mwisho ili Kupata Majibu ya Swali lako Utumie Zege Aina Gani Kwenye Kazi yako.



Najua Umetizama Video Hiyo Juu Mpaka Mwisho na Umejifunza Kitu.

Kama Utakuwa na Swali Jingine Kuhusiana na Zege [Concrete] Comment Hapo Chini Kwenye Comment Section Na Mimi Nitakujibu.

Kama Umeipenda Makala Hii Unaweza Pia Jifunza Hapa 

Jinsi ya Kufanya Hesabu za Nondo Kwa Usahihi Kabla ya Kuagiza, Tizama Hii Hapa Chini Video.



Kama Umependa Hakikisha Unashare na Wengine.

Sharing is Caring..✌✌

It's me your friend Tony Mbugi (Civil Engineer, Author [2 Books], Lecturer [MUST], Tutor [Udemy], Content Creator).

Check it Now Maisha Baada ya Chuo Civil Engineer/Technician Course - https://shorturl.at/buoNB
Previous Post Next Post

Contact Form