Kazi 7 za Geotechnical Engineering (Soil Mechanics & Foundation Engineering)

.

Nakumbuka Kwenye Story Yangu Hapo Juu Niliyoshare Na Wewe Nilikwambia..

. Nilishawahi Kuwa na Ndoto ya Kwenda Kufanya Masters in Geotechnical Engineering JAPAN Kabla Ndoto Haijakwea Pipa Lakini..😁 . Back to those Days Watu Wengi Waliokuwa Wananishauri (Professors, Doctors, Consulting Engineers) Concern Yao Kubwa ilikuwa Ni Kwamba Kwa Bongo Wataalamu wa Geotechnical Engineeeing Ni Wachache Mno Ukilinganisha Na Highway Engineering, Structural Engineering, Water Resource Engineering & Construction Engineering . Anyway Hayo Tuyaache Ni Story ya Siku Nyingine . > Leo Nakuletea Breakdown ya Kazi 7 Unazoweza Kuzifanya (Kwa Kujiajiri au Kuajiriwa) Kama Ukiwa na Knowledge ya Geotechnical Engineering (Soil Mechanics & Foundation Engineering) . So Kama Uko Interested Basi Na Field Hii ya Geotechnical Engineering au Kama Unataka Kujenga Mbinu za Kujiongeza Zaidi ya Ulipo Civil Engineer/Technician Basi Unaweza Anzia Hapa.

.

Best Geotechnical Engineering Software.

.
1. Microsoft Excel
Application: Geotechnical Laboratory Data Analysis from Geotechnical Investigation and Laboratory Tests & Handle Most of the Calculations & Graphing in the Field!
.
2. Plaxis 2D & 3D
Analysis of deformation and stability of soil structures, groundwater and heat flow!
Application: Excavation, foundation embankments and tunnels!
.
3. Geo Studio
Application: Slope Stability Analysis, Groundwater Seepage, Stress Deformation Analysis & Other Geotechnical Problems!
.
4. Geo5
Application: Excavation Design, Foundation Design, Stability Analysis, Settlement Analysis and Other Field Problems!
.
5. Flac3D
Application: Advanced Geotechnical Analysis (Soil, Rock & Structural Support) in 3D Dimension!
.
6. Other Softwares:
SEEP2D, SLIDE, STABL, SVFlux, SVSlope & UTEXAS!

.

BADILISHA UJUZI WAKO WA CIVIL ENGINEERING KUWA PESA

(Hatua Kwa Hatua A Mpaka Z)


Badilisha Ujuzi wa Civil Engineering Kuwa Pesa
Previous Post Next Post

Contact Form