Kuna Siku Nilikuwa Natoa Lecture Kwenye Short Kozi ya Labour Base Side Drain Construction
.> Sasa Kuna Mmoja wa Wanafunzi Akaniuliza Hivi Mbona Wakati Wakusoma Tukiwa Chuo Tunasoma Vitu Vingi Vingi Ambavyo Vingine Havina Hata Umuhimu.
.
Kwanini Mfano Mimi Nategemea Kuwa Civil Engineer/Technician Kusingekuwa Na Utaratibu Tu Nikifika Naambiwa Ili Uwe Engineer/Technician, Unatakiwa Ujue Moja Mbili Tatu!
.
Lile Swali Lilinifanya Niwaze Sana! After All Huo Ndio Ukweli Ulivyo..
.
Tunadeal Na Mambo Mengi Sana Kipindi cha Kujifunza CHUO Kiasi Mtu Una Lose Focus ya Kujua Vitu Ambavyo Ni Important na Vina Matter Kwenye Field Yako..
.
Na Hii Sababu Ndio Inapeleka Hata Graduates Baada ya Kuhitimu WANAKUWA HAWAJUI MAJUKUMU YAO KAMA PROFESSIONALS WENGI WAO!
.
Kiasi Cha Kwamba Mtu Akiingia Mtaani Kwa Sehemu Kubwa Anahitaji Tena Msasa/Darasa Jingine Kwa Muda Ili Awe Competent Kwenye Field na Eneo Husika La Kazi! Hata Kwa Vitu Ambavyo Ni Fundamentals
.
> So for you as a Civil Engineer/Technician Nimebreakdown Fundamental Skills Unazotakiwa Kuzijenga na Kuwa Nazo ili Uwe Competent Kwenye Field ya Civil Engineering!
Kiasi Hata Leo Hii Ukitaka Kuanza Kujijenga Ujue Uanzie Wapi..
Bofya Hapa Kufahamu Zaidi:
.
Tags:
Civil Engineering
