Bila Hizi Documents 3 Huwezi Kusimamia Mradi wa Ujenzi!

Hakikisha Unafatilia Makala Hii Mpaka Mwisho:

.
.
Kama Unafanya Site Supervision Na Haujui Muongozo wako Ni Upi Basi Hii Iko Kwa Ajili Yako
.
Kosa Kubwa Ni Pale Unapokuwa Site Civil Engineer/Civil Technician Hahujui Nini cha Kufanya..
.
Ila Unaanza Kukisia au Kufanya Kwa Mazoea Kwa Sababu Huwa Vitu Vinafanyika Hivyo..
.
Ndio Maana Unaweza kujikuta Unaendesha Mradi Kwa Hasara, Kazi Unayofanya Unaambiwa Haina Viwango Unajikuta Unaanza Kuonga PESA ili Mambo yaende Which is Very Bad.
.
Hakuna Mradi wa Ujenzi Hata Uwe Mkubwa Kiasi Gani Unaoweza Kufanyika Kwa Viwango Vinavyotakiwa Pasina Kuwa na Hizi Construction Documents..
.
Hakikisha Unafatilia Makala Hii Mpaka Mwisho:

.


Previous Post Next Post

Contact Form