🏗️ Civil Engineer/Technician: Kazi 10 za Kufanya Ukiwa na AutoCAD 2D (Online & Offline).

Nilikuwa Nafanya Utafiti Hapa Kidogo Kuna Jamaa Amepost Ametengeza Zaidi ya USD 2000 [Tsh. 5,196,502] Online Kwa Kuwa Na Uwezo wa Kutumia Tu AutoCAD 2D..

.
> Wait...
.
Na Kilichonishangaza Ni Kwamba Miongoni Mwa Kazi Anazofanya Ni [PDF to DWG Conversion].? Kitu Ambacho Am Sure Hata Wewe Unayetumia AutoCAD Unaweza Kufanya!
.
> Anyway that's Not the Issue Here!
.
Sikuishia Hapo Nilivyoamka Asubuhi Leo Hii Nikasema Nifanye Research Kuona Je, Kama Mtu Atajua Tu Kuitumia AutoCAD Vizuri, Anaweza Kufanya Kazi Zipi.
.
Ndipo Nikaja Kuona Kazi Zaidi ya 8 Ambazo Wewe Kama Civil Engineer/Technician Unaweza Kuzifanya Online & Offline Ukiwa Na AutoCAD 2D.
.
> Ya Mwisho Ndio Itakushangaza Eti..
.
Kufahamu Zaidi Hizo Kazi Ni Zipi Bofya Hapa:
.

.
.

BADILISHA UJUZI WAKO WA CIVIL ENGINEERING KUWA PESA

(Hatua Kwa Hatua A Mpaka Z)


Badilisha Ujuzi wa Civil Engineering Kuwa Pesa
Previous Post Next Post

Contact Form