Hujui Uanzie Wapi Kutengeneza Pesa Kama Civil Engineer/Technician.?

 Njia 5 za Kutengeneza Pesa Kama Civil Engineer/Technician

Ndani ya Makala Hii Utaenda Kujifunza  Njia 5 za Kutengeneza Pesa Kama Civil Engineer/Technician!..

Njia Hizi 5 Zitakusaidia wewe Kama Professional from Civil Engineering field Kuweza Kutengeneza na Kuongeza Kipato Chako bila Kujali wewe ni Mwanafunzi, Muajiriwa au Laah!

Je, Uko Tayari Kuzifahamu.?

Hey, Friend  Welcome Back Kama Hii Ni Mara yako ya Kwanza na Ni Mgeni Karibu The CivilEngineers Hub Platform Maalum Kwa... (Students, Graduates, Self-employed and Employed) Kada ya Civil Engineering Kujifunza Mambo Mbalimbali Kuhusiana na
Pia Unapata Maarifa Mbalimbali Katika Masomo ya Civil Engineering, Vitabu, SEAP Reports, Excelsheet Mbalimbali, Matangazo ya Kazi za Civil Engineering, Manuals, Site Documents.

Tembelea Channel Yetu YouTube Bofya Hapa - [The CivilEngineers Hub] Kupata Makala Kama Hizi Kwa Video.

Tuendelee..

Watu Wengi Sana wanaamini Kwamba Kama Civil Engineer/Technician Huwezi Kutengeza Kipato Mwenye Kama Hujaajiriwa either Katika Makampuni binafsi, Serikali au Kama Umejiajiri Mwenyewe Basi Lazima Uwe na Li Kampuni Likubwa au Mtaji Mkubwa Vile..

Jibu Ni HAPANA.!

Kuna Namna Nyingi ya Wewe Unavyoweza Kutengeneza na Kuingiza PESA Hapo Hapo Ulipo Bila Kuwa na Mtaji Wowote Bali kupitia Vitu Ulivyo Navyo na Vinavyokuzunguka wewe Binafsi Kama Civil Engineer/Technician.

Je, Vipi Unatamani Kujua Ni Namna Gani Hiyo.? Kama Jibu Ni Ndio Basi Hii iko Kwa ajili yako.

Hakikisha Unaifatilia Video Hii Hapa Chini Mpaka Mwisho ili Kujua Hayo Mbinu 5 za Kutengeneza Pesa Kama Civil Engineer/Technician..!!



Najua Umetizama Video Hiyo Juu Mpaka Mwisho na Umejifunza Kitu.

Kama Utakuwa na Swali Jingine Kuhusiana na Hiyo Video Comment Hapo Chini Kwenye Comment Section Na Mimi Nitakujibu.

Kama Umeipenda Makala Hii Unaweza Pia Jifunza Hapa Pia Hatua Kwa Hatua.

Jinsi ya Kujiandaa na Usaili [Interview] Kazi za TANROAD Kama Civil Engineer/Technician.



It's me your friend Tony Mbugi (Civil Engineer, Author [2 Books], Lecturer [MUST], Tutor [Udemy]Content Creator).

Check it Now Maisha Baada ya Chuo Civil Engineer/Technician Course - https://shorturl.at/buoNB
Previous Post Next Post

Contact Form