Bofya Kufahamu Zaidi
..
Dunia ya Sasa Hatuko Kwenye Dhana ya Niwe Na Cheti Ndio Nipate Michongo Mingi..⚠️
.
Dunia ya Sasa Unachohitaji Ni Kujua Unachotakiwa Kufanya.. na Jinsi ya Kukifanya Mpaka Kilete Matokeo..✍️
.
Kama Utaweza Hivyo Vitu Viwili Nakuhakikisha Hamna Mtu Anajali Kuhusu Cheti Chako.🥇
.
>> Chukulia Mfano Huu Unaumwa Meno Hulali Siku Nzima Huli Ni Kero Tu Na Mtu Akajitokeza Akakwambia Mimi Ninajua Kitu cha Kufanya ili Upone, Na Nilishafanya Kwa Zaidi ya Watu 5 Nikapata Matokeo Haya Hapa.. Huwezi Kumkatalia!
Basi Hivyo Ndo Hali Halisi Ilivyo Sasa..
By The Way Episode Namba 3 Imetoka
>> Jinsi ya Kutengeneza Pesa Kupitia Ujuzi Kozi ya Quantity Estimation & Costing (Quantity Surveying)
.
Katika Episode Hii Utajifunza:
✅ 🔨 Ndani, ya Quantity Estimation & Costing (Quantity Surveying) Unajifunza Ujuzi Gani?
✅ 💰 Je, Utumiaje Huu Ujuzi Kutengeneza Pesa?
✅ 🔨 Uanzie Wapi na Tools Unazohitaji Ili Kuanzaa..
.
Utakutana na Case Study Zaidi ya 5, Na Hata Jinsi Muhammad Alivyotengeneza Zaidi ya USD 200,000 Yaani Tsh. 520,000,000 Plus Kupitia Ujuzi Huu Huu wa Quantity Estimation, Takeoff & Costing Ambao Mimi Na Wewe Tunauchukulia Poa Huku Tukikomaa Kuamini Sana Kuajiriwa Kuliko Kutazama na Jicho la Pili Kutumia Tunachokijua
.
>> By The Way The Choice is Yours Just Go and Watch!
.
>> Lakini Cha Msingi na Kikubwa Zaidi Nakuomba Uchukue Hatua ili Kesho Uje Utoe Ushuhuda Kuwa Video Hii Nilijifunza Kutoka The CivilEngineers Hub na Leo Hii Imenifanya Nikafika Hapa.
Ilo Ndo Ombi Langu Kubwa